Mijichooo km fundi saa anatafuta mshale Wa sekunde
Husobe .....Mijichooo km fundi saa anatafuta mshale Wa sekunde
Husobe kapitaaa
Sawaaaa.....nimekusoma km fiestaHusobe .....
Macho kama binamu anaokota shanga za mwajuma
Bangiii hizo mpelekee shededeBinamu lee weka hata 4 banaa
Mdomoo huooSawaaaa.....nimekusoma km fiesta
Huyo binamu wako keshakuwa baba mkwe wako umuheshimiee
ZABURI 121
5 BWANA ndiye mlinzi wako; BWANA ni uvuli mkono wako wa kuume.
6 Jua halitakupiga mchana, Wala mwezi wakati wa usiku.
7 BWANA atakulinda na mabaya yote, Atakulinda nafsi yako.
8 BWANA atakulinda utokapo na uingiapo, Tangu sasa na hata milele.
NAWATAKIA JUMAPILI NJEMA NA IBADA NJEMA NAWAPENDA MJUE...MJIPENDE ZAIDI KWA KUUTAFUTA UFALME WA MUNGU KWA BIDII..SHALOM SHALOM
Hhmm.. ujue na mie maskani ni kigamboni..Kwa mama mchuchu
Bado.. hata maombi sijapeleka.Mama ashakukubaria ?
Mbona cheko jombaa..
Vip hali jirani.. maana ndio naamkaMorning all kapuku
Ahsante n kwako pia.ZABURI 121
5 BWANA ndiye mlinzi wako; BWANA ni uvuli mkono wako wa kuume.
6 Jua halitakupiga mchana, Wala mwezi wakati wa usiku.
7 BWANA atakulinda na mabaya yote, Atakulinda nafsi yako.
8 BWANA atakulinda utokapo na uingiapo, Tangu sasa na hata milele.
NAWATAKIA JUMAPILI NJEMA NA IBADA NJEMA NAWAPENDA MJUE...MJIPENDE ZAIDI KWA KUUTAFUTA UFALME WA MUNGU KWA BIDII..SHALOM SHALOM
Asante mpendwa wa obeHongera kwa 279k