makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,995
- 104,515
Wewe!! Nisikufe mimi ni nani..Ndio aukufwi saasa
Atakuwa mtoto wa marehemu babu huyu..Halaf kuna mtu anaitwa kaveli humu jf nikimuona huwa nakukumbuka
....hata mkojo wa punda hawakumezeshwa?Sijui.. makabila wengine wanakitoa, lakin wengine wanacho ila hawana maji maji wars.
Nahisi hawakumezeshwa ila dawa ya maji.
Ahsante kwa kunimis mpendwa..
Siwez kukupa nayapenda.. acha nibaki nayo..
Eehh. Hata gari unakanyaga mafuta mwendo inaenda wenyewe wee huku unahangaika na usukani.. ndio inavyopaswaRaha ndio hiyo kila mtu awajibike ujue sio unajituma peke yako tuuu
Teh teh teh.. kwahyo we unasema watu walane kiukweli.. haya sawa mie naanzaje kukupinga ndugu yangu.. katika watu nnaowakubali na kuwaamin we wa kwanza.. hata ukiniambia mchanga ni mtamu, mie nalambaSio mazuri maka mazuri ya kulana kiukweli ujue wanazibiana riziki tu
Jaman si maji maji war.Kinjekitile ngwale ndio nini naomba uniambie nijibu mwenyewe
WivuNiajeee mkuu
Wife sijui unamsimuliaga nn make kuna kipindi huwa anakuuliziaa
Kwema tu ndugu yangu..Kwema humuu
Mwenye Habari za Bitoz wandugu, kapotelea wapiii huyu mtu???
Vip hali yako lakini!?Kwema humuu
Mwenye Habari za Bitoz wandugu, kapotelea wapiii huyu mtu???
Mnatunyima nin huko.Sawa kamanda
Shida za msukuma hiziAisee vyuma vimebana sana
Teh teh teh......hata mkojo wa punda hawakumezeshwa?
Inabidi wanywe dawa za oral
Jua na kuaanda mashambaMnatunyima nin huko.
Na wivu ukizid sana ni kidonda eti si ndio wanavyosemagaWivu
Tuvumilie ni mapito ya mwanadamu nae anatupisha katika mazingira anayo amini ni sahihi japo wengine tunaona anakoseaShida za msukuma hizi
Safi hyo..Jua na kuaanda mashamba
Husna muba.. kuna mwingine zaid yake..