kwema asee@ nimemuona mama mchuchu kama wengi wanavyomwita
msalimie husna
...zimefika. Ngoja nikwambie kitu kuhusu mama mchuchu, ila asijue Husna maana sitaki kuachika.
huyu mama mchuchu , mimi nilikuwa sipindui kwake yaani najua kabisa ameolewa na jamaa mmoja mkongo
werrason lakini mimi kama mbwa kwa chatu nikawa namkomalia basi hata awe ananitumia maua tu lakini wapi.
Nikaugua akasema atakuja kuniona, ilikuwa mbinu yangu aje mwenyewe lakini watu wabaya humu, wakajitokeza wadau eti kumsindikiza, nikaona isiwe nongwa nikatangaza nimepona ugonjwa wasije.
Nikapanga safari ya mimi kumtembelea, yaani natoka mtwara kuja kigamboni , safari ikaratibiwa na aunt yangu
Shunie , nisindikizwe na
Tumosa mara hamadiii, nikaingiza habari za wahamiaji haramu na makinikia ya anko wangu
lee empire , safari ikapigwa chini.
Nimeona nikueleze tu maana wote humu wanajua