Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usinikumbushe , lile ni kalio mchomoko, yaani kwenye Dela linapendeza sana. Ila ulikosea sana sambusa na mpika sambusa ulikula bila kulipa. Mjomba wangu ujue hata shetani akikutizama huwa anajiona yeye ni mtakatifu
DuuNdio dingi nimelipa kibendi linataka liwafaham wazazi wangu
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Ntalipajeee wakatiii wewe ndo cordinator
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].....ni kweli ulinisindikiza kwa kuwa unaijua ile njia vizuri. Yaani hata yule albino nikashangaa anakupa hi kwa bashasha kubwa mteja first class umekuja
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mpango wako ni kulala huko huko usitafute sababu
[emoji15]Akapimwe kojo
Mh!Kwamba
Akinunaa naendaga kwa binamu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]....hivi anko unajua Tumosa ndo ni namba moja kwenye ile list yako. Ulipokuwa umeenda kwa yule kibonge muuza kongolo alisema maneno ashakum nashindwa hata kuyaandika. Eti ni kweli umemuongezea mtaji afu umempeleka englishi kozi sababu eti maneno ya kiswahili hayakufurahishi mnapofanya yenu.
Mimi nikashangaa tu, nitasema nini tena kwa mjomba wangu
Kiporo hiki
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]......,nilishawahi kupigwa nikalipwa hela nyingi tu. Unataka kunipiga nikuelekeze nilipo? Utakuja na mashabiki niandae mashahidi ili polisi wasisumbuke upelelezi?
[emoji57] [emoji57] [emoji57]Sawa ntakupeleka haiwezekani kila muda akupandishe pressure
[emoji1] [emoji1] isije kuwa vise versaMm ntakuvizia nkutwange bila ushahidi ndo ukome kidomodomo
[emoji1] [emoji1] [emoji1].....hivi huwa hayafikishi kwako, huwa anabeba anasema anapeleka nyumbani
Au anko wangu ana nyumba nyingi?🙁
Yanauma ee?!Me nishakwambia mkumbushe tu anibebee mengine sitaki kusikia binamu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]....sasa sifa utapata wapi kuwa umenipiga.! Si nitasema tu nimeanguka
Hiyo haiwezekani kabisaa[emoji1] [emoji1]Yaani monitor aandike jina lake kwa wapigakelele!?
[emoji15] [emoji87]
Nampaaa...
Nampaaa..
Nampaaa
Nampa papaaa x 2
U a missed my sweetheartGood evening my love