Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
UmerogwaaaKhee!! ni privacy
UmerogwaaaKhee!! ni privacy
Sasa kama ni mwili mmoja mbona hamtumii simu moja..?Mimi na yeye mwili mmoja ujue sasa me pm situmii nilikupa njia rahisi tu ujue
Ahaa wagwan bway.?Umerogwaaa
Mi sio mzima sana,fungua pm tuongee zaidi.Poa za wewe
Not gudaaaaa ma bwayAhaa wagwan bway.?
Naanzaje jaman baba dJitoee ufahamu uonee
Emojiiii zanguNaanzaje jaman baba d
Huwa tunatumia tukiwa pamoja kama hivi tupo tofauti lazima kila mtu atumie simu yakeSasa kama ni mwili mmoja mbona hamtumii simu moja..?
Wah a ting bway?Not gudaaaaa ma bway
Pm mm sifungui hili swala utaongea mpaka Yesu arudi ujue una shida pitia kwa baba d ataniambia ni privacy ipii hiyo baba d asijueMi sio mzima sana,fungua pm tuongee zaidi.
Wachaaa nikupendeeeeeeePm mm sifungui hili swala utaongea mpaka Yesu arudi ujue una shida pitia kwa baba d ataniambia ni privacy ipii hiyo baba d asijue
That's why nyie sio mwili mmoja,mngekuwa mwili mmoja mngekuwa mnatumia account moja pia.Huwa tunatumia tukiwa pamoja kama hivi tupo tofauti lazima kila mtu atumie simu yake
Mmh! Hapana ndomana kunakuwaga na faragha na faragha sio ya watu watatu.Pm mm sifungui hili swala utaongea mpaka Yesu arudi ujue una shida pitia kwa baba d ataniambia ni privacy ipii hiyo baba d asijue
Hizo zangu au zako♂♂♂♂♂♂![]()
Ndio hivyo jaman mwili mmoja sie tupo hivyoThat's why nyie sio mwili mmoja,mngekuwa mwili mmoja mngekuwa mnatumia account moja pia.
Basi shedede me sina cha kukusaidia ujue nilikupa njia rahisi sana ujueMmh! Hapana ndomana kunakuwaga na faragha na faragha sio ya watu watatu.
Zangu jaman baba dHizo zangu au zako
Aaah sehemu TafadhaliMndali yuko wapi niko kwenu huku mkuu