Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Mwanaumeeeeeee ma-nini vile? [emoji3][emoji3]Like naona anakugongea wewe tu mumewe jaman me sizioni ujue
Mwanaumeeeeeee ma-nini vile? [emoji3][emoji3]Like naona anakugongea wewe tu mumewe jaman me sizioni ujue
Watu wa humu hawacheleweshi wanapita kimya kimya ujue halaf wanazama pm huko [emoji41][emoji41]Unaakili wewe.
Isijekuta kuna ka-hamisa mabeto flani hivi amazing .[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wengine hadi wako kwenye browser kama guest...Ewaaaaaaaaaa kuna wezi humu T ujue wanapita kimyakimya
YaaapIshi hapo hapo...
Hii tunaita siri ya ndani.
Inatakiwa ifahamike kwa wawili tuu.. wewe na shemela shunie tuuu..
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Niko poaa ...soon nafika
YaaaaaapWoooooooozaaaaaa ila siri yangu ujue [emoji8]
Pamoja sana jooYaaap
Mungu azidi kukuweka baba d wangu jaman nakupenda mimi [emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8]Mm hapa
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Kila mtu anajua siri ya mwanaume wake ujue T [emoji41]Mwanaumeeeeeee ma-nini vile? [emoji3][emoji3]
Hahahaaaa...Watu wa humu hawacheleweshi wanapita kimya kimya ujue halaf wanazama pm huko [emoji41][emoji41]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] ndio ujioneee sasaWengine hadi wako kwenye browser kama guest...
Ila nawasikiaga wanapiga stori za kapuku...
Hahaaaaaaa...Kila mtu anajua siri ya mwanaume wake ujue T [emoji41]
Naanzaje naogopa mie unamwaga mautramu ya baba d na kusifia juu wenzako wanapita kimya kimya [emoji41][emoji41] woiii siku ya siku unakutana na lithread chit chat la kumsifia baba d si nitakufwa ghafla mimiHahahaaaa...
Wewe ndio uaze kumwaga utamu wa lee hapa [emoji3][emoji3][emoji3].
Watu wanajipigia tuuu kimyaa
[emoji15] [emoji15]
Sema ukweliiiEwaaaaaaaaaa kuna wezi humu T ujue wanapita kimyakimya
Pm tena ??[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Watu wa humu hawacheleweshi wanapita kimya kimya ujue halaf wanazama pm huko [emoji41][emoji41]
Kweli baba d ujueSema ukweliii
Mm sasaMungu azidi kukuweka baba d wangu jaman nakupenda mimi [emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8]