Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji524] Mungu unihifadhi mimi kwa maana nakukimbilia wewe

Nimemwambia Bwana ndiwe Bwana wangu sina wema ila utokao kwako

Watakatifu waliopo duniani ndio walio bora hao ndio niliopendezwa nao [emoji524]

ZABURI 15:1-3

MUWE NA USIKU MWEMA JAMANI MLINDWE NA DAMU YA YESU MLALE UNONO [emoji7] [emoji120] MIMI NAWAPENDA TUUU ILA NAMPENDA ZAIDI BABA D WA KWANGU MIMI KIBOKO KABISA LEE WA SHUNIE [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
 
Back
Top Bottom