moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 8,043
- 16,888
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] haleluya[emoji524] Mungu unihifadhi mimi kwa maana nakukimbilia wewe
Nimemwambia Bwana ndiwe Bwana wangu sina wema ila utokao kwako [emoji524]
ZABURI 16:1-2
MUWE NA JUMAMOSI NJEMA KWENU MBARIKIWE SANA [emoji7] [emoji120]