Makapuku Forum

Makapuku Forum

Enyi wazao wa nyoka mwawezaje kunena mema mkiwa wabaya? Mana kinywa cha mtu huyanena yaujazayo moyo wake

Mtu mwema katika njema hutoa mema na mtu mbaya katika akiba mbaya hutoa mabaya

MATHAYO 12:34-35

MUANGALIE NA MNAYONENA MDOMONI MDOMO HUUMBA MUWE NA ASUBUHI ILIYO NJEMA KWENU MBARIKIWW SANA
8b3e0610d17dab0c71db97792be8a27b.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom