Makapuku Forum

Labda kama anatumia account mbili.
Sikujua kwamba jf kuna watu wanatafuta kick.
Ht km ana multiple ID lkn mwongo tu
Mimi nilianzisha neno KAPUKU kwenye thread zangu zen mtu WA kwanza kuniunga mkono akawa Th Name halafu akaja Jimena ....tukaanzisha USWAHIBA tukawa tunapeana sapoti zen nikawa na wazo la kuleta hii thread lkn Sissya007 akaniita chemba tukawa na kina Ibra87 ..EMMYGUY & Nahrene..
Baada ya hapo thread ikatoka kesho yake
Hilo ndo chimbuko la Makapuku Forum
Ni fahari ya Makapuku wote
...............................
TOP 10 makapuku tishio JF

Wajue Great Sinkers wa JF !!

Underground vs Wakongwe wa JF
................................
 
Pamoja sana le prezdaa wangu.
 
Kapuku forum ni zaidi ya tamthilia ya Isidingo.
 
Yule anatafuta umaarufu tu, sasa dawa yake ni kumpotezea, mi ndo kwanza nimemuona leo hata sijui katokea wapi?
Hapa ndo naona vile Makapuku ni homa ya dengue ama nene
 
Natamani mods wafanye yao kwenye ule uzii

Ntafurahi sana nikiona umeletwa hapa kusema kweli ili achoreke zaidi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…