Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Njema dadake habari za hapo mabiboKaka akee za wewe
Njema dadake habari za hapo mabiboKaka akee za wewe
Dada nimemwambia ailete yeye sio we ndo uleteNdio mana nikawaletea ebu msaidieni mwenzenu toka 2012 kwahiyo babe wake ni geisha au
Njema dadake habari za hapo mabibo
mabibo woiii humu kila siku napewa tu makazi mapya salama kaka hawajambo wanakusalimia huku mabibo mwisho
Sawa kakaDada nimemwambia ailete yeye sio we ndo ulete
Sawa ila Leo nipo hapa soko la mabibo ukuje uchukue zawadi ya mbeya![]()
![]()
mabibo woiii humu kila siku napewa tu makazi mapya salama kaka hawajambo wanakusalimia huku mabibo mwisho
Umeleta nini kaka halaf mchele mbeya gunia sh ngapii la kg 100 kaka ule super kabisaSawa ila Leo nipo hapa soko la mabibo ukuje uchukue zawadi ya mbeya
Hiyo mi nimeiona ila tunataka uilete kama unaomba ushauri kwa wanafamilia sio tuitoe sehemu ndo tuijadili tutakuwa hautulitendei haki jukwaahttps://www.jamiiforums.com/index.php?posts/23332471jaribu kuingia hiyohapo link isome afu leta ushauri.
post using my macbook air using jamiiforums app
Nipo bro. Naona penzi lile tukufu bado linakusumbua. Gangamara mwanawane!

Ndio mkulane iwe kikweli kweli sio mnakula jukwaani na bongo movie zenu

Huku mambo ya kilo hayapo wengi wanatumia ndoo kama kipimo ila juzi nimenunua njiani huko chimala kilo 20 sh.34000/=Umeleta nini kaka halaf mchele mbeya gunia sh ngapii la kg 100 kama ule super kabisa
TunasubiriSawa kaka
Ila kaka akee hivi kaka we umezaliwa enzi za tanu eeenh ujue huwa nawaza tu mieHiyo mi nimeiona ila tunataka uilete kama unaomba ushauri kwa wanafamilia sio tuitoe sehemu ndo tuijadili tutakuwa hautulitendei haki jukwaa
Ngoja nitege sikio kabisaImefika ilete kamili tukusaidie
Ebu nitakuja pm kukuuliza vizuri kakaHuku mambo ya kilo hayapo wengi wanatumia ndoo kama kipimo ila juzi nimenunua njiani huko chimala kilo 20 sh.34000/=
Kwelii shemela
Kwanini dadake maana unanipa uhenga wa watu hapaIla kaka akee hivi kaka we umezaliwa enzi za tanu eeenh ujue huwa nawaza tu mie
Mwanamke anataka matunzo banaa ye mwache aneng'eneke tu ndio maana alikuwa mpenzi mtazamajiHawaelewi husna

Nani mwingine alikupa makazi mapya shemela![]()
![]()
mabibo woiii humu kila siku napewa tu makazi mapya salama kaka hawajambo wanakusalimia huku mabibo mwisho
Unataka kusikia nini shemejiNgoja nitege sikio kabisa