shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Mwambie binamu yako sasaHumu bongo movie zimezidi ebu kulaneni jaman

Mwambie binamu yako sasaHumu bongo movie zimezidi ebu kulaneni jaman

Humu bongo movie zimezidi ebu kulaneni jaman

kulaneni?
Mmmh! Hila swali linakuhusu piah..!Akijibu nitag
Ndio, kwani nini kigeni hapo afande shededekulaneni?
post using my macbook air using jamiiforums app
Kwa nini usimfate na kumuonyeshea hisia zako unaishia jukwaani tu ungemfata tu pm hukoHila nilikuwa nam-feel kweli "I'm a true soul"
post using my macbook air using jamiiforums app
Sio kila mwanamke anaweza kuomba uwe unajiongeza we mwenyewe tuHusna muba hajawahi niomba na sijawahi muonga hila akiniomba sitosita kumpa
post using my macbook air using jamiiforums app
Ndio mkulane iwe kikweli kweli sio mnakula jukwaani na bongo movie zenukulaneni?
post using my macbook air using jamiiforums app
Couple nyingi za jf ni bongo moviesSanaaa shemela me ndio mana na baba d wangu tulitoka kwenye hizo mambo ya nini kufurahisha watu jukwaani hata kujuana hamjuani
Kwahiyo binamu obe nae yupo kwenye bongo movie shemela sitaki kuamini na ujanja wake woteMwambie binamu yako sasa![]()
![]()
![]()
Kwa mtu wa bongo movie shemela anajionea nyota nyota tuNdio, kwani nini kigeni hapo afande shedede
Hila sijawahi kukuonea ubahiri sieti?Sio kila mwanamke anaweza kuomba uwe unajiongeza we mwenyewe tu

Kasoro sisi aisee msituingize huko na baba d wanguCouple nyingi za jf ni bongo movies
post using my macbook air using jamiiforums app
Nipo bro. Naona penzi lile tukufu bado linakusumbua. Gangamara mwanawane!Shimba ya buyense popote ulipo shout out
post using my macbook air using jamiiforums app
Hawaelewi husnaSio kila mwanamke anaweza kuomba uwe unajiongeza we mwenyewe tu
Kwahiyo binamu obe nae yupo kwenye bongo movie shemela sitaki kuamini na ujanja wake wote

Ngoja basi nisishangae kwanza afande shululu.Ndio, kwani nini kigeni hapo afande shedede
Kweli kabisa shemelaKwa mtu wa bongo movie shemela anajionea nyota nyota tu
Shemela wapi tena huko
Labda yenu tu, yangu na my love Tumosa sio bongo movieCouple nyingi za jf ni bongo movies
post using my macbook air using jamiiforums app