Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
Kila siku mnanipa makazi yenu[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Kila siku mnanipa makazi yenu[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Basi tu nakuona una uhenga flani tuKwanini dadake maana unanipa uhenga wa watu hapa
Ina maana kilo ni 1200Huku mambo ya kilo hayapo wengi wanatumia ndoo kama kipimo ila juzi nimenunua njiani huko chimala kilo 20 sh.34000/=
Sema kitu shemeji maana we ulinifanyia roho mabaya nilikwambia nipitie kibamba njia panda ukapitiliza kwenda kwako mkoani[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
WooooooooozaaaaaaMwanamke anataka matunzo banaa ye mwache aneng'eneke tu ndio maana alikuwa mpenzi mtazamaji [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
MnajijuuaNani mwingine alikupa makazi mapya shemela
Sawa dadaEbu nitakuja pm kukuuliza vizuri kaka
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Namfuata Obe
[emoji4] [emoji4] [emoji4][emoji3][emoji3][emoji3]nikikumbuka yaliyopita napata mshtuko wa moyo. ....lol
post using my macbook air using jamiiforums app
Shemela ulikuwa unakaa sinza, ukasema umehamia mbezi msigani huko, sasa mimi ningejua umehama bila wewe kusema?Kila siku mnanipa makazi yenu
[emoji4] [emoji4] [emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kusema ulichomwambia yupo kwenye bongo movie
Sema ukweli wako kutoka kwenye moyo wako kabisa shemelaMnajijuua
Hiyo pm utasubiri sana shemejiSawa dada
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Ni wewe ndio umesema Obe,, ila mimi nilimaanisha Nyagei
Hapana nitamfata ni muhimu hiyo issue nataka nilinganishe na sehemu flaniHiyo pm utasubiri sana shemeji
Hapana dada mi siko hivyo ila napenda misingi ya kitu husika ifutweBasi tu nakuona una uhenga flani tu
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Sasa me nibaki nini me na baba d tunakulana yaan ananikula vizuri tu nikiongea hizi mambo namkumbuka tuu [emoji4][emoji4][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] Mungu akutunze tu lee wangu mimi [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Ukweli ndio huoSema ukweli wako kutoka kwenye moyo wako kabisa shemela
[emoji4] [emoji4] [emoji4][emoji15] [emoji15] maandishi yapo binamu atakutana nayo
Nimekuelewa kakaHapana dada mi siko hivyo ila napenda misingi ya kitu husika ifutwe
Na ujue tunapo kuwa hapa makapuku sisi ni ndugu na inapo tokea mtu ameleta maada nje ya makapuku huwa nakosa nguvu ya kuzungumza ila hapa nitakuwa huru