Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kwenye pitapita na gazeti la jamhuri nimeambulia hii ...

Isijekuwa kama sani na story za korea
57b0b5bd2f828864ca2bd6fbdc8c4858.jpg
 
[emoji524] Heri walio masikini wa roho mana ufalme wa mbinguni ni wao

Heri wenye huzuni maana hao watafarijika

Heri kwenye upole maana hao watairithi nchi

Heri wenye njaa na kiu ya haki maana hao watashibishwa

Heri wenye rehema maana hao watapata rehema

Heri wenye moyo safi maana hao watamwona Mungu [emoji524]

MATHAYO 5:3-8

HIVI UKIAMKA UNAMSHKURU MUNGU WAKO NA KUMWAMBIA ASANTE KWA KUNIAMSHA SALAMA SIKU YA LEO AU WEWE NDIO WALE WANAKURUPUKA TU BILA MUNGU WE SI CHOCHOTE MSHKURU KWA KILA JAMBO ANALOKUFANYIA [emoji7] [emoji120] MUWE NA ASUBUHI ILIYO NJEMA KWENU MBARIKIWE SANA
 
Cuzoo wangu hajambo[emoji5]
Mzima kabisa ....
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] acha nikupende tu kumbe ulifikisha ujumbe baba d
Msalimie sana mwambie nime mmiss sana kule kijiweni
Aaniambiaa eti mbona mapema sana leo ....au upo mwenyewe tu ....

Akimaliza kazi hapa utamuonaa
Cuzoo salaam zako nimepata baba d ameniambia nakuja kijiweni
Nimepita tu kupiga soga kidogo. [emoji23] [emoji23]
Naanzaje sasa kuwa mwenyewe[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Eti dk chache mtakuwa wote ....
 
Back
Top Bottom