Uzi ulifungwa ulikua chit chat hapa mods walikua wana kazi ya kufuta comments tuNaomba link ya huo uzi eeh
Kwan si tunakuwa woteee lakin ....Sawa baba d utatumia yangu lakini unajuwa nimekuzoea kukuona jf
Ili mje kupewa ban woteUnitag na mimi
Kwan si tunakuwa woteee lakin ....
Alafuu hii tabia ya kuwa chumban mm seburen alafu wote tupo jf kama walio maili mia elfu ikome
Baby wewe usinambie huijuiiihapo unataka kumaanisha nini baba d ebu naomba password yako ya jf
Ili mje kupewa ban wote
majuzi mmu kwenye uzi mmoja kuhusu kupenda I'd fake na avatar kuna mtu kasema napenda sana avatar za shunie lijitu lilipotokea likamquote shunie dume wewe nikamwambia ni kweli mkuu mm dume jinsia yangu si uliiona ngoja nikuitie huyu akwambie jinsia yangu nitakamtag baba d akaniambia kama zote I'd zako nani anajua nimecheka tu nikaachana nae
Ushulutumosa waachiee waoo...
Hahahaa...Ili mje kupewa ban wote
majuzi mmu kwenye uzi mmoja kuhusu kupenda I'd fake na avatar kuna mtu kasema napenda sana avatar za shunie lijitu lilipotokea likamquote shunie dume wewe nikamwambia ni kweli mkuu mm dume jinsia yangu si uliiona ngoja nikuitie huyu akwambie jinsia yangu nitakamtag baba d akaniambia kama zote I'd zako nani anajua nimecheka tu nikaachana nae
Eeeeeh!hapo unataka kumaanisha nini baba d ebu naomba password yako ya jf
Wakati mwingine bora asikutag..sikuona alafu tag mbona sionag
Aisee...Uzi ulifungwa ulikua chit chat hapa mods walikua wana kazi ya kufuta comments tu
Mmh..oyoooo kashata moja sh 100 unaletewa mpaka ulipo
Mniungishee
KweliiWakati mwingine bora asikutag..
Its saves a lot.
Na kahawa vipiioyoooo kashata moja sh 100 unaletewa mpaka ulipo
Mniungishee
Nilikutag baba d yaan anaongea kwa kujiamini kabisa shunie dume nimebaki nacheka tu yule mtu akamwambia kama dume au vipii me napenda avatar zake tu jinsia yake atajua nayo mwenyewesikuona alafu tag mbona sionag
Jf kuna mamboNilikutag baba d yaan anaongea kwa kujiamini kabisa shunie dume nimebaki nacheka tu yule mtu akamwambia kama dume au vipii me napenda avatar zake tu jinsia yake atajua nayo mwenyewe
Kahawa hata leo nimekunywaNa kahawa vipii
Ndio mana huwa simtag halaf yanavyotokea anakuwa hayupo online vizuri baba d sio mtembeaji namjua alivyo atawatukana mwisho apate banWakati mwingine bora asikutag..
Its saves a lot.