Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,077
- 464,004
Barikiwa shemela wangu mzidi kupendana jaman hakuna namnaAsante kwa neno la uzima, shemela shunie
Barikiwa shemela wangu mzidi kupendana jaman hakuna namnaAsante kwa neno la uzima, shemela shunie
Salama shemela wangu za wewe apooo jamanShemela wa mimi apa za kwako
Shem nikuletee nini?Kho kho kho
Shem niletee wakina jj tu niwaone hapa kikohozi kitatulia waambie wazazi wao hapa kapuku jamanShem nikuletee nini?
Na boraaa....baby mm naendelea vyema kazin japo hope ushaamka dearHapana baba d jaman yaan nimefika hapo tu nimepaliwa
Nimeamka salama baba d wangu mimi nakuhamu tu mimi jaman mda woteNa boraaa....baby mm naendelea vyema kazin japo hope ushaamka dear


Nzuri kabisa shemela wangu, D hajamboSalama shemela wangu za wewe apooo jaman
Ata masaa 2 hajapitaa ushanihamuuNimeamka salama baba d wangu mimi nakuhamu tu mimi jaman mda wote![]()
D mzima kabisa yaan kama unavyomuona baba yake hapo naombeniii picha za kuna jj hili kikohozi kitulieNzuri kabisa shemela wangu, D hajambo
Me nakuhamu mda wote jamaan yaan moyo unakusukuma wewe tu ujueAta masaa 2 hajapitaa ushanihamuu
Unaonaa sasa binamu alikuwa ananiambia eti nikuchagulie moyo sukuma damu ....Me nakuhamu mda wote jamaan yaan moyo unakusukuma wewe tu ujue
Nitag jibuuD mzima kabisa yaan kama unavyomuona baba yake hapo naombeniii picha za kuna jj hili kikohozi kitulie
Binamu si mbaya wangu kwani hujui baba d kama binamu hataki me na wewe tuwe wote yaan ujue kuna mda binamu obe simuelewi mimi kabisa au anataka kukuoza huko mnakokuwa kilazima jamaanUnaonaa sasa binamu alikuwa ananiambia eti nikuchagulie moyo sukuma damu ....
Hakitatulia shemelaKunywa dawa ya kikohozi shemela
Usijal baba dNitag jibuu
Yaan binamu sijui ameamka kalewa ....ila ntapambana nae asikupe taabuBinamu si mbaya wangu kwani hujui baba d kama binamu hataki me na wewe tuwe wote yaan ujue kuna mda binamu obe simuelewi mimi kabisa au anataka kukuoza huko mnakokuwa kilazima jamaan
Ewaaaaaa shem waniletee tu jamaan hili nitulie halaf waambie leo wasinichanganyie picha nipo makini sanaa
Ewaaaaaa shem waniletee tu jamaan hili nitulie halaf waambie leo wasinichanganyie picha nipo makini sanaa
