Makapuku Forum

Makapuku Forum

IMG-20170911-WA0025.jpg
 
[emoji524] Upendo huvumilia, hufadhili, upendo hauhusudu upendo hautakabari, haujivunii

Haukosi kuwa na adabu hautafuti mambo yake hauoni uchungu, hauhesabu mabaya

Haufurahii udhalimu bali hufurahi pamoja na ukweli

Huvumilia yote huamini yote hutumaini yote hustahimili yote

Upendo haupungui neno wakati wowote Bali ukiwapo unabii utabatilika zikiwapo lugha zitakoma yakiwapo maarifa yatabatilika [emoji524]

WAKORINTHO 13:4-8

MUWE NA ASUBUHI NJEMA JAMANI MBARIKIWE SANA [emoji7] [emoji120]
 
Asante kwa neno la uzima, shemela shunie
 
Back
Top Bottom