Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji524] Kweli jeuri humpumbaza mwenye hekima na rushwa huuharibu ufahamu

Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake na mvumilivu rohoni kuliko mwenye roho ya kiburi

Usifanye haraka kukasirika mana hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu [emoji524]

MITHALI 7:7-9

MUWE NA JUMAPILI NJEMA JAMANI MBARIKIWE SANA [emoji7] [emoji120]
Asante shemela.
 
nawasalimu makapuku wenzangu wooote,nimewamiss Sana,nna wiki ss application ya jf haifunguki kwa cm yng hapa nimeingia through operamini free basics tabu tupu cpati jukwaa ktk mtiriko stahili,ntajitaidi kutatua changamoto hii tuwe pamoja km kawaida nawapenda na kuwajal ndg zangu muwe na jumapil njema
Tunakumiss pia pole na hizo changamoto
 
Back
Top Bottom