Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,720
- 15,352
Nzur dear za wwHbr yko mama wenger
Nzur dear za wwHbr yko mama wenger
Nataka nianze kukulinda etyUko wapiiiii
Ndoapo sasa nisaidie nawewe afande shululu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
, hivi kuna mtu hajui kama wewe ni mke wa Lee
Mie mzima sana,mapacha hawajambo?Niko poa kabisa, za kwako
Hata tumosa ni mtoto mzuriHakuna mtu asiyejua shemela nilikuwa namkumbusha tu baba d ndio anatakiwa kuniita mm mtoto mzuri au basi amuite tumosa mtoto mzuri sawa shemela wangu
Sisi tutajuaje..Mkeo anasema mm napenda kukuchokoza jaman kumbe wewe ndio huwa unanianza
Mapacha wazima kabisaMie mzima sana,mapacha hawajambo?![]()
![]()
![]()
post using my macbook air using jamiiforums app
Watu hamtaki kabisa mchezoHatutaki longolongo jaman kama upo serious tunakuja pm kutoa no ya kutuma hela na hiyo no ni ya kutuma pesa tu sio ya kupiga wala msg
Mapacha wazima kabisa
Ila kwangu unaona sawa kwa mkeo ndio isiwezekane shemelaHaiwezekani kabisa shemela
We kohoa tu shemelaKoh Koh Koh
Sawa subirini pm elf 10 kiingilioHaina shida shemela
Kwa mkataba upiiii we kazi si uliacha kwa mbwembwe kwanza sihitaji mlinzi mwenyewe najilindaNataka nianze kukulinda ety![]()
![]()
![]()
post using my macbook air using jamiiforums app
Sawa shemelaSawa subirini pm elf 10 kiingilio
Ewaaa tumosa kweli mtoto mzuri haujakosea kabisaHata tumosa ni mtoto mzuri![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
post using my macbook air using jamiiforums app
Mtajua wenyewe jaman shululu ananichokoza hapa jukwan na mm namjibu kwahiyo yeye hamuoni uchokozi wake mnaona wangu tuSisi tutajuaje..
post using my macbook air using jamiiforums app
Mashalah mungu kamjaaliaEwaaa tumosa kweli mtoto mzuri haujakosea kabisa
Wazee wa fursa sie mtu na mkeweWatu hamtaki kabisa mchezo![]()
![]()
![]()
![]()
post using my macbook air using jamiiforums app


Mungu fundiiii kwa tumosa kamaliza mtoto mzuri huyoMashalah mungu kamjaalia![]()
post using my macbook air using jamiiforums app
Hahaah naonaWazee wa fursa sie mtu na mkewe![]()