Anaolewa na bonge mwenzie huyooo[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] vibonge oyeeee nimependa ujumbe tu jikubali tu jaman ulivyo na Mungu alivyokuumba ujue Mungu ana maksudi yake![]()
Mmenikumbusha nyiee watu tulilala nje wiki nzima tena chini kwenye mikeka km tuko matangani vilee[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kisa popobawa!!Shemela hivi zile mambo za popo bawa jamaan hivi ilikua kweli kipindi kile
Asante kwa taarifa ila mi nayapenda saaana siwezi kumaliza wiki bila kuppika maharage nyumbani kwangu![]()
![]()
Kuna watu hawali maharage kisa tu wanadai ni chakula cha hadhi ya chini
Unajidanganya mwenyewe
Maharage yanafaida kubwa katika mwili wa binadamu
Sote tunajua ukila maharage unapata vifuatavyo
Fiber
Kopa
Folate
Chuma
Magnesium
Manganese
Phosphorus
Potassium
Lakini ukiacha hayo maharage hutibu magonjwa ya moyo, kisukari, na saratani
Kula maharage ndugu yangu
Mara nyingi vitu vya bei ya chini vina faida sana kwenye miili yetu
Mmmmh kweli ileeeZile ni hadithi tu
[emoji1] [emoji1]Kujipa moyo inaruhusiwa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wengi wanakwepa kitu cha yusuuffff!
Muziki: Jumatatu ya Teknolojia
Ninajiaminisha kuwa Kapuku, yes, wewe unayenisoma muda huu, umekuwa na Jumatatu nzuri kabisa na hasa kwa kuwa kuanzia Ijumaa ilikuwa ni mapumziko mazuri ya Eid ambayo kiukweli hayakuendana na mialiko tuliyoizoea awamu zilizopita. Yote kheri tu na maisha yanasonga.
Asante kwa wote mnaolifanya Jukwaa hili kuwa sehemu nzuri ya kufurahia, kujifunza, kufundishana na zaidi kupata maarifa, tunafanya vizuri hadi nahisi tukiendelea hivi majukwaa mengine yatakufa. Ha ahahaha, unacheka kwa sababu unajua haiwezekani, lol, inawezekana sana tu maana kuwepo kwako hapa ni sababu tosha kabisa ya kuyatia 'joto' majukwaa mengine. Asante kwa kuwepo hapa.
Muziki sasa, teknolojia ina mammbo mazuri lakini usisahau kuwa inaweza leta mambo yasiyosahihi cha msingi ni wewe mtumiaji kujitambua na kuifanya teknolojia. Kwanini ninaandika haya, mnajua napenda kushare, well, sio kuwapa nilichonacho bali nawajulisha tu nimenunua Samsung Galaxy new model, naamini suala la emoji halitanisumbua tena. Ungana nami kwenye kufurahia manunuzi ya simu mpya, na kama unajua kujiunga na kifurushi cha chuo please nielekeze