Hapana aisee tatizo lipo kwako hivi binamu mbona unapenda mauongo naomba nyimbo mie ya Martha kabla sijalalaNimeviweka, naamini simu au any gadget unayotumia ina matatizo
Inawezekana tatizo sio langu ila la device yako/zenu
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Binamu ebu hivyo viemoji vya mtu vitupiepo hapa nivione
Hapana aisee tatizo lipo kwako hivi binamu mbona unapenda mauongo naomba nyimbo mie ya Martha kabla sijalala
[emoji106]
Binamu unatumia Nokia torch auLol! Mbona sivioni tena wakati nimeviweka kabisa au kuna jambazi anaiba emoji zangu
Anko njoo unipe ukweli, hujaiba kweli maana kwa hujuma dhidi yangu unanionea sana
Basi binamu jaman nimeiona. [emoji4]Nyimbo nimeipandisha mbona, au huna chaji
Wape vinywaji sasaNawasalimu tu mimi jamaan mtu na anko wake wa damu kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We binamu acha uongo jaman emojiii zipiiiiii
Mbona mi huniwekei?!Muziki wa Wadhamini
Kwa udhamini mnono wa Shunie hebu tuburudike na hii gospel matata kabisa with love
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimeviweka, naamini simu au any gadget unayotumia ina matatizo
Inawezekana tatizo sio langu ila la device yako/zenu
Asante kwa music [emoji445] kiongozi ObeMuziki Jumapili: Family Day
Hakuna ubishi kuwa Jumapili ni siku ya familia, tunakaa pamoja kuongea na mara zote hii huwa ni siku ambayo wote tunakaa mezani kula na kunywa pamoja. Ni wakati huu ambapo maswali huulizwa, majibu hutolewa na ukweli ni mwingi kuliko uongo, uongo? Siongopi na ninasema kweli kabisa kuwa salamu ni nusu ya kuonana na ndiyo maana ninakusalimia Kapuku muheshimika sana, u khali gani? Wiki ndo inaanza, juma la kwanza la mwezi mbichi kabisa wa Kenda.
Jumapili hatuna maneno mengi, tunaburudika tu na muziki maana leo ni siku ya familia na sisis kama familia ya Makapuku tuburudike pamoja.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] uko balimi ya ngapi sasa?Lol! Mbona sivioni tena wakati nimeviweka kabisa au kuna jambazi anaiba emoji zangu
Anko njoo unipe ukweli, hujaiba kweli maana kwa hujuma dhidi yangu unanionea sana
Mshauri na yeye azoeeMe nishajizoelea
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Binamu unatumia Nokia torch au
Amen[emoji524] Ee Bwana Mungu wangu nakulilia ukaniponya
Umeniinua nafsi yangu Ee Bwana kutoka kuzimu umenihusisha nafsi yangu [emoji524]
ZABURI 30:1-2
MUWE NA USIKU ULIO MWEMA KWENU DAMU YA YESU UWALINDE [emoji120]
Wameshakunywa shemela kwenye majungu yako naona umeshangiaWape vinywaji sasa
Ahahaa sio kila kinashaurika kila mtu na moyo wakeMshauri na yeye azoee