shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Hata mimi nataka kujuaShubamiti ndio nini?
Hata mimi nataka kujuaShubamiti ndio nini?
[emoji15] [emoji15]Nakuunga mkono katibu.
Aisee hatariAcha tu shululu, majungu ya hapo, hadi mimi nimekimbia
Muziki Jumamosi: A very Long Wikend
U khali gani Kapuku mheshimika, jana ilikuwa mapumziko na sihitaji kukukumbusha kuwa leo na kesho ni mapumziko kwa weng na bahati nzuri mapumziko haya yamenigusa na mimi.
Asante kwa kuwepo hapa, asante kwa shululu kutuletea magazeti, lee empire mjomba wangu umeanza kwenda gym huku ukiwa na mpango wa kuongeza banda la chipsi na bia, hongera sana. Asante Shunie kwa nukuu ya Bible, kipenzi changu husna muba ujue wewe ndo chaguo langu la kwanza, la pili , la tatu, hakuna cha chaguo la nne nimwachia mzee wenger wa Arsenne. asante Tumosa , dingimtoto , dumejeuri muosha rungu , Clkey , Mondray , mtaasisi Nyagei , siwezi kukusahau mzee wa 'busara' mzeewakungoa , Tetramelyz . Ninyi mnalifanya jukwaa hili kuwa bora kabisa.
Msiseme nimewasahau Sakayo , Bitoz , Jimena , Bailly5 , Madame S , demi , koncho77 , Rogie , BlessedHope , nawakumbuka sana.
Muziki sasa, kuna muziki unausikiliza na sio siri unapaswa kuusikiliza kiumakini maana ujumbe uliopo ndani unakufanya uione wikend yako kuwa ni ya kipekee kwa sababu tu wewe ni mtu spesho
[emoji134] [emoji134] [emoji134]....maana yake inaweza kuwa sawa na afrit, kutegemea na umeitumiaje?
...nababiabaia tu ili kucomment
Ziko pouwa mkuu.Unanitafuta sio bure..
Vp lkn Mishemishe za Eid hope usha mbegeka kichizi..
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahahaa nilitaka nije unipime kabisa vipimo[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Leo kazi ipoBinamu obe popote ulipo unasalimiwa sanaaaaaa na mama mchuchu anasema kakumiss sana
Utamuelewa tuShemela shululu njo umchukue ndg yako tetra jamaan me simuelewi kabisa
Mwambie Mme mwee wako akwambieHata mimi nataka kujua
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ninayo Mimi [emoji4]
Binam.....mchepuko haujui
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Pitia tena, nimekuweka na audio attachment, usikie malalamiko ya yule mhamiaji haramu
Umestuka ehee[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
AiseeBeibe, usihamaki hakuna jipya , mimi na wewe kama chapati na karanga
Wewe na bonge mwenzio ndani ya............ [emoji3] [emoji3] [emoji3]Watu na mabeibe waooooo
[emoji4] [emoji4] waendelee tu na mama mchuchu waoLeo kazi ipo
Lee ndio anafahamu, nimeambiwa hivyoHata mimi nataka kujua
Mambo ya kufatiliwa sitakii huo ujinga ....Mukuru rudisha avatar[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu