Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Atakuja tu jamaanMbona hajiiii
Atakuja tu jamaanMbona hajiiii
Binamui miss you too good people! Ulikuwepo wapi maana tayari nimesharudi kikamilifu!
Kina JJ hawajambo?
.....mchepuko haujuiUchungu wa mumeeee
Binamu
Nimecheka sana binamu.....mchepuko haujui
....maana yake inaweza kuwa sawa na afrit, kutegemea na umeitumiaje?
...nababiabaia tu ili kucomment
Sijabahatkaa kuonaaa...ngoja nioneeUmekuwa kimya mjomba, hujaona notification yangu? Au simu yako umeiacha kuleeee
Binamu obe popote ulipo unasalimiwa sanaaaaaa na mama mchuchu anasema kakumiss sana
Zimefika binamu......msalimie sana, nami nimemiss kinoma noma
Binamu obe popote ulipo unasalimiwa sanaaaaaa na mama mchuchu anasema kakumiss sana

Sijabahatkaa kuonaaa...ngoja nionee
Veeeeeeep na hizo mambo za emojiiii mpendwa wa binamu sipendi emoji emoji mie
Beibe, usihamaki hakuna jipya , mimi na wewe kama chapati na karanga
Watu na mabeibe waoooooBeibe, usihamaki hakuna jipya , mimi na wewe kama chapati na karanga
Oyaa acha usaniiHaipoo
Tupia thaaathaaaNinayo Mimi![]()
Mpendwa wa binamu ile cherehani yako si ipo nataka nikuletee batiki yangu unishonee nguo ya kanisaniOyaa acha usanii
Mcute msalimie sanaMke wangu anawasalimia sana!