Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Tutumie bacNinayo Mimi![]()
Tutumie bacNinayo Mimi![]()
Tumeni hela kwanza hakuna cha bure.Tutumie bac

Aujuae mkeUchungu wa mumeeee
Na uchungu wa mke jeee.Aujuae mke

AkujeeAtakuja tu jamaan
......msalimie sana, nami nimemiss kinoma noma

Is up to youVeeeeeeep na hizo mambo za emojiiii mpendwa wa binamu sipendi emoji emoji mie
Watu na mabeibe waooooo
mwenye kijiba cha roho asage chupa abwieee akafilie mbali hukoooMi nashona kyupi tuMpendwa wa binamu ile cherehani yako si ipo nataka nikuletee batiki yangu unishonee nguo ya kanisani
UsilitumieHata mi nalitumia ingawa sijui maana yake
Da arostooo inasumbuaaaaarosto veeeep
Nakuletea kitambaa unishonea dozen mojaMi nashona kyupi tu
Usilitumie

Sio mpya yaani hizo unazovaa zikitatuka ndio ulete nikuzibie kirakaNakuletea kitambaa unishonea dozen moja![]()
![]()
DJ sepetu
YesHey wakuu!
Nakuunga mkono katibu.Katibu mipango wa Makapuku nipo hapa.. Hakuna kujipendekeza kwa mtu tunaamini tuna ubora kuliko wao... Hapa ni muda wa makapuku kusimama na kung'aa... No shobo no Ufagio
Hahahaa nilitaka nije unipime kabisa vipimoSio mpya yaani hizo unazovaa zikitatuka ndio ulete nikuzibie kiraka