Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,372
- 12,479
Hahaa, duh... yani shunie mimi niache kuomba ugali, niombe ndoa yenu ivunjike?Kwendraaa na haitotokea aisee na usikute wengi mnaombea hivyo sasa mtafanya sherehe au Lee na shunie wakiachana
Hahaa, duh... yani shunie mimi niache kuomba ugali, niombe ndoa yenu ivunjike?Kwendraaa na haitotokea aisee na usikute wengi mnaombea hivyo sasa mtafanya sherehe au Lee na shunie wakiachana
Si maombi ya mwenye haki hujibiwa kwa wakati yaan wewe tetraHahaa, duh... yani shunie mimi niache kuomba ugali, niombe ndoa yenu ivunjike?
We kwanini uzuke kichaka wakati kile kikopa kimoja tu kinatoshaAhahhahah kwahiyo yangu ya uongo ungekuwa unalia lia apa kuhusu makopa mawili
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahaa, duh... yani shunie mimi niache kuomba ugali, niombe ndoa yenu ivunjike?
Kweli kabisa, ndio maana sijawahi kulala njaaSi maombi ya mwenye haki hujibiwa kwa wakati yaan wewe tetra
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli kabisa, ndio maana sijawahi kulala njaa
Ebu niambie tetra vile vikopa viwili jaman vimekufanyajeWe kwanini uzuke kichaka wakati kile kikopa kimoja tu kinatosha
Sema siwezi kuweka no yake hadharani, ila ningekupa uimpigie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shemela wangu ukweli mchungu huo ujue
Woyooooooooooo tuma hiyo picha basi pm kwa baba d shemelaSema siwezi kuweka no yake hadharani, ila ningekupa uimpigie
Hahahaha, nimefurahi tu kuviona, maana ni adimu sanaEbu niambie tetra vile vikopa viwili jaman vimekufanyaje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tetra una vituko sanaHahahaha, nimefurahi tu kuviona, maana ni adimu sana
Mume wngu mm[emoji173] [emoji173] [emoji173]Mkuu vip
Mm hapa mke mweeee umzimaMimi aba baba jj mke mwee yuko ap jaman
Nimempigia simu kaja, sema lingine sasaEbu niulizie shemela hata me mkewe hataki shikamoo yangu
Nani kakwambia npo kyelaAhahaha na mapenzi yenu ya bongo movie usikute hata hujawahi kuwasiliana nae mtu yupo kyela huko na wewe shemela upo kinyerezi. [emoji23]
Karibu mama wawili, karibu sana bora umeitikia wito wangu, maana shunie huku alikuwa anaandaa singleMume wngu mm[emoji173] [emoji173] [emoji173]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] we mke mwee leo unakana haupo kyelaNani kakwambia npo kyela
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Karibu mama wawili, karibu sana bora umeitikia wito wangu, maana shunie huku alikuwa anaandaa single
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shemela we hapana sasa hivi tena unanibadilishia manenoNimempigia simu kaja, sema lingine sasa