Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,013
Jomoniiiiii dyadyaUmeanza
Jomoniiiiii dyadyaUmeanza
Tunamshukuru mola tu wazima mkuu!
EeehhWoyoooooooooo team geisha poleni
Nitaaiandikia story nikipata time.Duh! Story ya huyu princess Diana iko kidramatic sana, anyway ndo keshakuwa mwendazake hakuna namna tena tutabaki kusoma story zake tu. Na kuna mlinzi wake anajiandaa kuandika kitabu kama my memory serves me right.
Muziki utakuja muda si mrefu
Ilikuwa April hiyoFirst post on makapuku forum
Naomba na mie soda yanguHallelujah...
![]()
Hallelujah...
Naomba nyimbo binamu mie ya bambiii ya jidenna imfikie utamu wangu mie Lee empire wa kwangu Mimi tuuuu shunieDuh! Story ya huyu princess Diana iko kidramatic sana, anyway ndo keshakuwa mwendazake hakuna namna tena tutabaki kusoma story zake tu. Na kuna mlinzi wake anajiandaa kuandika kitabu kama my memory serves me right.
Muziki utakuja muda si mrefu
Nakuja kwakoUnaenda wapi kwa mfano we roho ya mtu
Nipo Jana na leoWapi
lee empire
Mondray
Bitoz
Asprin baba yake sakayo
husna muba
Obe
shululu
mzeewakungoa
Tumosa
Nyagei
Linamo
Pm ipo kwa ajili gani jamaan au ndio unaogopa mambo ya makondakta au mzee wa hapa kazi tuHivi ni tarehe ipii.... Maana nina hamu nayo balaaa
September 11Lini jamaan utaileta T kila siku utaileta
Wazima mkuu karibu za wewe
Naomba nyimbo binamu mie ya bambiii ya jidenna imfikie utamu wangu mie Lee empire wa kwangu Mimi tuuuu shunie
Amina shem..
Namuombea pia Mungu aendelee kukuwekea furaha yako.
asante shem wakeKumbe niniJomoniiiiii dyadya