Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Nimekumiss mtaniNipo Jana na leo
Nimekumiss mtaniNipo Jana na leo
Aiseeee. [emoji41] hiyo calendar itakuwa ya sudan
Amina [emoji120][emoji120][emoji120] asante shem wake
Ya nini tena hii mtani?Poa tu
Hongera mtani
Sasa mpaka umma ujue..? [emoji3][emoji3]Unajua niko serious eeh
Hahaa....Aiseeee. [emoji41] hiyo calendar itakuwa ya sudan
Asante mume wa mtu, roho yake Sakayo,mwenye sura ya baba ake
Woyooooooo surprise ya v8 nakufahamu atakufwa bday boy ndio siri nimeshatoa hivi baba d me atanipa zawadi gani siku yangu baba d jamaan ebu ukuje baeUnajua niko serious eeh
Mkuu hata nilisahau kama kesho sikukuu ndiyo nimestuka leo Mchana baada ya kupewa mialiko ya kutosha!Kabisaaaa...
Ushapata mbuzi wa kuchinja kesho?
Inawahusu wasiokuwa na wake humuNdio nini hiki tena shem?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ewaaa
Uje na malimao basi
Sasa mbona hutualiki kesho tuje kula mbuziiii kama nyerere aliutokomeza udini na ukabila mpendwa wa binamu[emoji15] [emoji15] [emoji15] udini na ukabila nyerere alishautokomeza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] woiiiii kivuli bado hakijasafishwa tu jamaan dyadyaMwenzanguu
Si umeona tarehe nlopewa.... Mambo ya kivuli ujue
Nimefurahi kusikia hivyo mkuu.Tunamshukuru mola tu wazima mkuu!
Hivi Ulishindwa kunijibu kwa simu yangu...Sasa mpaka umma ujue..? [emoji3][emoji3]
Salama kabisa Shunie,Wazima mkuu karibu za wewe
Sasa kivuli itakuwaje lakinii...Woyooooooo surprise ya v8 nakufahamu atakufwa bday boy ndio siri nimeshatoa hivi baba d me atanipa zawadi gani siku yangu baba d jamaan ebu ukuje bae
Unajua wewe ni mchochezi mdogo wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wazima
Nilishanunua..Ewaaa
Uje na malimao basi