Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Da nakumbuka zile TV iko nyumba mtaa mzima tukajazana kibaooo kuangalia mazishi yakeLeo ni Miaka 20 baada ya kifo cha Princess Diana
![]()
Kifo chake kilizaa neno "paparazi" nchini kwetu
Da nakumbuka zile TV iko nyumba mtaa mzima tukajazana kibaooo kuangalia mazishi yakeLeo ni Miaka 20 baada ya kifo cha Princess Diana
![]()
Nimetamani ujueUmeonaee

Ewaaa. MWoyooooooooooo
Team mapacha!
Wawili wawili
Pole pole shem..![]()
![]()
mtu unatamani kutotoa aisee hata baba akikataa mbegu yake utajua mbele kwa mbele
Utakula lollipo?Mie zaidi babe
Tulia hivyo hivyo...Halaf najma veep dyadya na wakati we christian
Mara mbili 2 kwisha kaziiiiEwaaa. M
Ni mwendo wa double
Ewaaa![]()
![]()
mtu unatamani kutotoa aisee hata baba akikataa mbegu yake utajua mbele kwa mbele
Mie tayari ujueNimetamani ujue![]()
WoyoooooUtakula lollipo?
Bado round moja lakini?Mie tayari ujue
Mara moja jamaniiMara mbili 2 kwisha kaziiii
Lini sasaaaBado round moja lakini?
December bhana..Lini sasaaa
First post on makapuku forumHabari wana JF
Habari Makapuku wenzangu
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya makapuku wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za kukabiliana na mambo yote humu.
Makapuku natumaini nyote tutashirikiana katika jambo hapa JF. Bila kumsahau founder wa makapuku Bitoz shukrani kwake
Karibu sana makapuku katika mjadala. Wengine nitawaongeza hapo baadae.
Karibu sana
Bitoz
JF Makapuku Founder
Jimena
JF Makapuku assistant Founder
Th Name JF Makapuku assistant Founder
Huko mbali ujueDecember bhana..
Mtani wangu husna..Da nakumbuka zile TV iko nyumba mtaa mzima tukajazana kibaooo kuangalia mazishi yake
Kifo chake kilizaa neno "paparazi" nchini kwetu