Makapuku Forum

Makapuku Forum

IMG-20170831-WA0005.jpg
 
Chid Benz: Tupac yupo Cuba na tunawasiliana naye!
"Maneno yanayoongelewa kwamba 2Pac amefariki siyo kweli, Kila siku ninaongea na 2pac na hata sasa hivi nimetoka kuongea naye"
Mimi na 2Pac tumekutana Cuba, na tumefanya nyimbo ya pamoja na Mungu akisaidia hivi karibuni tataachia nyimbo hiyo".
"2Pac ana mpango wa kurudi kwenye muziki, na wimbo wetu tuliorekodi ndiyo utamrudisha. Na hivi karibuni 2Pac atakuja bongo, ila atakuja kimya kimya kama alivyokuja Beckam" Aliongeza Chidi Benz.
Pia Chid aliendelea kwa kusema "Baada ya kukutana na 2Pac tuliamua kurekodi baadhi ya vipande vya video ambavyo tutaanza kuvisambaza kwanza ili kuweza kuwajulisha watu kuwa 2Pac bado yupo hai na kuwaondoa watu fikra za kuwa 2Pac ni marehemu".
Hata hivyo kitu cha kushangaza zaidi ni baada ya Chid kuendelea kusema kwamba anamdai 2Pac kipini chake cha puuani ambacho alimuazima walipokuwa wote nchini Cuba.[HASHTAG]#EANewz[/HASHTAG]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom