Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Asante mpendwa wangu unaenipa farajaMpenzi wangu mwenyewe, tulia fungua radio msikize lady Jay Dee unayempenda sana
Asante mpendwa wangu unaenipa farajaMpenzi wangu mwenyewe, tulia fungua radio msikize lady Jay Dee unayempenda sana
Asante mpendwa wa ObeNawe pia
Haaaaahaaaa, huwa sihangaiki naye kabisa, Wright juzi katoa machozi kabisaShululu ukimfatilia sana yule mzee utakufa kabla ya siku zako nakuapia
Njema mkuuNjema za kuamka mpendwa?
Sasa huyo mama ashura hapa kaingiaje?!
Naona unaanza ufitini kuna mda umesema bora arudi kwa mama mchuchu na hapa tena ndio hivi
Endelea tu unachokitaka kitimie

Atakukula binamu yangu tu![]()
![]()
Aa wapi never happened
Me ninachokitaka we umpende tu binamu yangu usimuingize na wengine umpende yeye tuSasa huyo mama ashura hapa kaingiaje?!
Naona unaanza ufitini kuna mda umesema bora arudi kwa mama mchuchu na hapa tena ndio hivi
Endelea tu unachokitaka kitimie
Nakuona shemela wangu mzee wa bongo movie we na mke mwee
Ila shemela we ni mchochezi jamanWoyoyoooooooooooo
Nimeuliza tu shemela ujue mana binamu anapenda hizo mambo za shangaa
Kushinda wewe na LeeNakuona shemela wangu mzee wa bongo movie we na mke mwee

..umeanza maswali yako, umenifitini kwa BH na huku tafwadhari usiniharibie. mimi Mmakonde aunt yangu, ila mmakonde wa mwanza






...shanga 1500 ulizisemaga wewe lakini ujue?
Ni wewe shemela shululu jamanNi wewe na anko wako
Shikamoo Babu
Woiiiii hivi jamaan tunamuactia naniii humu na kwa faida ipi hivi watu mkichunguliana ni bongo movie eenh shemela au watu mkikulanaKushinda wewe na Lee![]()
![]()
![]()