Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Abeeee!My love Tumosa
Abeeee!My love Tumosa
Za kushinda mama watoto wanguAbeeee!
Binamu...hukusikia kwani, yaani anko hakukwambia! Niliachika, yaani aliniacha. Kisa chenyewe ni cha kijinga tu, eti nilimuomba aongeze zile mambo zangu nikataka shanga akabaki kushangaa eti kwanini alizonazo hazitoshi? Nikamwagwa, ila ilikuwa ni zamani kabla sijakutana na tulizo langiu la moyo alhabib Husna


hivi we ni mmakonde au samahani lakini kwahiyo mpendwa wako anavaa shangaa 1500Asante mkuu.Yaani sidhani kwamba ataleta ripoti mbaya...... Mimi nataka nikusafishe na kashfa tu mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ananiambia eti nifanye uchunguzi mama wenger kazaa na nani mm inanihusu nini jamaan me namfanyia uchunguzi baba d tuShunie..
Kwani kuna nini shem..
Ha ha ha ha ha ha ha ha..... HatareeeeBinamuhivi we ni mmakonde au samahani lakini kwahiyo mpendwa wako anavaa shangaa 1500
Nashangaa anataka kushindana na vijana kukamatia fursaHapo mjukuu mwee unashangilia Au umeshika kichwa nyumba yaungua.
Salama tu baba wawili hofu kwakoZa kushinda mama watoto wangu
Najua we ni babu yangu ila unachotaka kuleta babu ni uchochezi jaman yaan sipendi kuona sakayo akiumizwaHongera Kwa kua dada mzuri kwa Sakayo.... A friend in need is the friend indeed.... Obviously I am joking Shunie .....please turn on a joking mode.... Mimi ni babu yako ujue.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi najua.... Lakini vijana si waliliamsha jana.Asante mkuu.
Ila sihitaji kusafishwa mkuu.
Mimi ni msafi na sijafanya lolote..
Mimi na uzee huu..... Hayo mambo nilishasahau..... Sasa hivi starehe kahawa na kashataNashangaa anataka kushindana na vijana kukamatia fursa
Basi Sorry for U and Sakayo.Najua we ni babu yangu ila unachotaka kuleta babu ni uchochezi jaman yaan sipendi kuona sakayo akiumizwa
What's going on shunie?Najua we ni babu yangu ila unachotaka kuleta babu ni uchochezi jaman yaan sipendi kuona sakayo akiumizwa
Vijana gani hao..Mi najua.... Lakini vijana si waliliamsha jana.
Muulize babu mzeewakungoa T me sielewi jamanWhat's going on shunie?
Tumekusamehe uchochezi sio mzuri humu watu wanakulana kweli unavyoongea hivyo unataka watu wanunianee jaman auBasi Sorry for U and Sakayo.
Mmh..Ananiambia eti nifanye uchunguzi mama wenger kazaa na nani mm inanihusu nini jamaan me namfanyia uchunguzi baba d tu
Sawa babu we endlea kupambana na hali yakoMimi na uzee huu..... Hayo mambo nilishasahau..... Sasa hivi starehe kahawa na kashata
Ndio umwambie huyo mzee jaman labda haelewiMmh..
Hii mada nilishasema tuifunge bhana.
Hakuna lolote ...
Tumekusamehe uchochezi sio mzuri humu watu wanakulana kweli unavyoongea hivyo unataka watu wanunianee jaman au
kukulana veeeepe