Rogie
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 7,600
- 6,721
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
By the way karibu makapuku
Sio mm ndio nikukaribishe wewe my dear?
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
By the way karibu makapuku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Njoo ulichukue, waja na kikopo sio?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mmmh!!!!!Sio mm ndio nikukaribishe wewe my dear?
WoyoMatumaini ya Liverpool kumsajili kiungo wa RB Leipzig Naby Keita yamefifia baada ya klabu hiyo kusisitiza kuwa haumuuzi mchezaji huyo. (Sky Sports)
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Nakusubiri
Niajeeeeee
Mmmh!!!!!
Basi tenaHaya nikaribishe
Hapana bana me ni wa 55 kibibi gagula ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23] we ni muhenga Wa 22 tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1] [emoji1] anawafaa wapiga puchu[emoji1]
Lunch time[emoji1]Niajeeeeee
Yaaan hongera zake aisee mwanaume alivyokuwa mjeuri yule sahi kamvumilia tu na kashfa zake zote ili atulie aolewe masikini[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Tena dodo kwenye mchongoma
Ahahhah nimeuliza tu ili nijue ujueNimecheka kwa nguvu ujue[emoji40] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bhasi uliweeeLunch time[emoji1]
Asanteeee sanaJE WAJUA?!
Je wajua punje za mahindi moja au mbili zilizokauka ukitafuna ni mbadala kwa wale wanaotumia magnesium kuondoa gesi au kilungulia "heart burn " jaribu uone na msaidie ndugu , jamaa na rafiki yako!!!!.
AiseeeeJE' WAJUA..Kuwa lita 25 za [HASHTAG]#MAJI[/HASHTAG] hutumika kutengeneza lita moja tu ya [HASHTAG]#BIA[/HASHTAG]!?![]()
Nyie jamaan mbona mnatufanyia hiviNipe hilo kojo uliloshindwa kulitaja[emoji4]