Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Njoo ulichukue, waja na kikopo sio?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Njoo ulichukue, waja na kikopo sio?
Mmmhukiziba mdomo na kubana pua upigapo chafya unaweza kung'oka macho. USIJARIBU.
Kwa Leo tuishie hapa
Kuolewa raha pia ni heshimaYaaan hongera zake aisee mwanaume alivyokuwa mjeuri yule sahi kamvumilia tu na kashfa zake zote ili atulie aolewe masikini
Niliwe na nani saasaBhasi uliweee
Hakuna kitu pale si walishakulana walikutana mwaju yupo kwenye kazi yake si waliuziana kama nakumbuka au mana mwaju na leah wote si machangudoaKuolewa raha pia ni heshima
Sasa sahi na mwaju itakuwaje?!
[emoji106]Asanteeee sana
Ndio hivyooAiseeee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] baasi tunaachaNyie jamaan mbona mnatufanyia hivi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] nimemmis maka asee....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wagunani saaasa ila umeambiwa usijaribu plz....[emoji1]Mmmh
Muache aisee huko mnakoelekea sio kuzuru mjue[emoji23] [emoji23] [emoji23] baasi tunaacha
Si eti rogie ee?!
Anarudi lini jaman mwenyewe nimemiss maneno yake ya shombo[emoji1] [emoji1] [emoji1] nimemmis maka asee....
Mwaju na sahi walimeet kule jeshini kwa general nyangeHakuna kitu pale si walishakulana walikutana mwaju yupo kwenye kazi yake si waliuziana kama nakumbuka au mana mwaju na leah wote si machangudoa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Muache aisee huko mnakoelekea sio kuzuru mjue
Ooh nimemchanganya huyu sauda ujue aliyepoteza dom aisee sijui itakuwajeMwaju na sahi walimeet kule jeshini kwa general nyange
Ambapo mwaju alitumwa na general nyange amchunguze sahi
[emoji4][emoji4]tunarudi kule kule kwenye puchu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi kwetu hakuna mashamba ya mpunga.Ndio[emoji4] [emoji4]
Au kwako
Mwenye uwezo wa kukulaaa mkalizikianaNiliwe na nani saasa
Sawa mjukuu.... Unajua"kupanga ni kuchagua"Uamuzi tu babu me sijambo sijui wewe