Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Naona unammwagia sifa Th NameKweli kabisa,
Mwanzoni kabisa wakati forum inaanza niliwahi kusema kuwa couple nnayoielewa hapa ya Th Name na lizziebettie ila watu hawakunielewa nadhani watanielewa polepole
Na kwasasa couple nyingine nnayoielewa ni ya manuu na amaizing
Wajameni mbona leo mnanichana live bila chenga.!!!sawa wewe ni asali ya warembo lakini sasa kisu chako ni butu ndo mana umeachwa
Safi sana kwa kuwaunganisha. Acha mapenzi yachukue nafasi yakeNashukuru Dada kwa kuliona hili. Huyu youngblood anafikiri lizziebettie nilimpata humu.
Kingine majungu tu yamemjaa sana. Atasubiri sana kwa maombi yake ya hovyo. Pia manuu na amaizing naikubali maana nilijitahidi kuwaunganisha mpaka mambo yakawa sawa.
Wenyewe wanasemaSafi sana kwa kuwaunganisha. Acha mapenzi yachukue nafasi yake
unakut naamdika fasta mwan ndo maanUnazingua wewe ebu andika vizuri au ulikimbia somo LA mwandiko??
Th Name kuja huku ufundishe mwandiko hii mutu
AbsolutelyWenyewe wanasema
"Let love leads"
HakikaAbsolutely
Mkuu nadhani hujaelewa vizuri.unakut naamdika fasta mwan ndo maan
sijakusoma amazingunakut naamdika fasta mwan ndo maan
hapa ni makavu live bila chenga..Wajameni mbona leo mnanichana live bila chenga.!!!
Morning tooogood monini Makapuku wenzangu
Dada kula like...Kweli kabisa,
Mwanzoni kabisa wakati forum inaanza niliwahi kusema kuwa couple nnayoielewa hapa ni ya Th Name na lizziebettie ila watu hawakunielewa nadhani watanielewa polepole
Na kwasasa couple nyingine nnayoielewa ni ya manuu na amaizing
HahaAAAAunakut naamdika fasta mwan ndo maan
Brother mimi na Nahrene tumeamua tutengane for good kila mtu ajue hamsini zake.
Brother kwani wewe ulifanikiwa kupata mwenza!!hapa ni makavu live bila chenga..
hatuwezi kuona unapotea na sisi tukakuacha
Natumai utaendelea kumsaidia kijana wetu.HahaAAAA
MGENI AMERUDIIIII
karibu sana