Makapuku Forum

Shukran Kwa Ngoma Hilo
 
4/ je wajua kitunguu kikubwa zaidi duniani?



Ni mkulima maarufu aliyejulikana kama Peter Glazebrook mwenye mazao ya aina yake, amevunja rekodi hii kwa miaka karibu sita mfululizo kwa kulima vitunguu vikubwa zaidi duniani

Alikua na miaka 68 wakati anavunja rekodi hii,aipanda 2012 na hua na utaratibu wa kumwagilia maji kila asubuhi siku za jua

Tumezoea unapokata vitunguu ule moshi wake lazima ukulize wewe mkataji lakini vitunguu vya bwana Peter kitakatwa basi mlioko jikoni wote mtalia kutokana na moshi wake mkali na kitunguu hiki kina uwezo wa kutoa vitunguu vodogo vidogo vipatavyo 250 au na zaidi

Kina uzito wa 8.5 kg



Madame S
 
5/ je wamjua mtu mwenye ulimi mrefu zaidi duniani?

Anaitwa Nick Stoeberl akitokea California ana ulimi wa 10.10 cm



Alivunja rekodi hii ya World Largest Records akiwa na miaka 24 November 2012

Mwenye anakwambia hana shida ya tissue wala kitambaa kujifuta endapo anakula hutumia tu ulimi wake kulamba hicho cha kula kilichomnatia

Hutumia muda mrefu zaidi asubuhi wakati wa kusafisha kinywa na hutenga muda kwa ajili ya kuusafisha ulimi wake tu

Asanteni kwa muda wenu
Tukutane jumatatu Mungu akipenda kwa je wajua zingine kali na zilizobamba

Madame S
 
Huwa wanarudi kumalizia wakisha shoot hicho kipande ujue
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…