Aisee3/Steve AustinAlichaliwa Desemba 18 mwaka 1964
Huyu ukimwita tu nguli wa mieleka ni kama unampunja sifa maana kwenye filamu pia anakimbiza vibaya pale Hollywood
Ni mzaliwa wa kojijini kwa George Bush pale Texas ila hawana mambp ya kupigana assist kama waswahili huku
Ana mikataba kibao ya matangazo na kucheza filamu za kibabe
Kwenye mieleka keshabeba mataji kibao :
Ana utajiri wa USD 45 Milioni
.......
Ni mazingaombwe tangiapoalinifanya huu mchezo niune wa mazingaombwe pia yan anapigwa hatetemeki hasogei jamani
Madame S
Don't Try This At Home !!
Utamuua Bailly mwili wenyewe si unaujua
......
Asante kwa kumi kubwa za leo mdau1/Vince McMahon
Akiwa na Stephanie
Alizaliwa Agosti 24 mwaka 1945
Ndiye baba wa Diva wa miekeka Stephanie McMahon ambaye kwa sasa kwa wanawake hana mpinzani
Alikuwa ni mcheza miekeka nguli enzi zake licha ya kuwa na umbile la kawaida
Baada ya kustaafu akaanzisha kampuni za mieleka ambazo yeye ndiyo anazoziongoza kama CEO sasa unapomuona ulingoni kashika kipaza sauti usifikiri anauza sura pale yupo kwenye biashara zake ujue
Pia keshawahi kucheza filamu kibao tu
Ana utajiri wa USD 800 Milioni
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Niwatakie Usiku Mwema
Tukutane Jumatatu
Mwisho
...............
MkuuAisee
Asante Obe kwa musicMuziki: Ukimya Unaopiga Kelele
Kuna kuwa kimya na kukaa kimya, haya yanatofautiana. Ngoja kwanza, usiharakie kusema mbona yote yanafanana, nani kasema. Kuwa kimya ni dhana nzima ya kujitafakari, unajitafakari tembea yako, unatafakari ufanye nini, huzungushi ulimi. yeah, huzungushi ulimi maana hata ukimpa ulimi unayempenda ulimi utaongea na huku ndo kukaa kimya na kuwa kimya ni kelele zenye sauti ya nyangumi. Huelewi, well, hatushindani kufikiri maana leo ni furahiday na always I take this delicious day very easy, and hate those making obnoxious noise na kuusumbua ukimya wangu.
Napita tu, kimya kimya, napekua usisikie kelele zangu nikiwasalimia shululu ambaye sichoki kusoma magazeti, unanianzishia siku kwa uzuri kabisa. Nakushushukuru Jimena kwa historia na wine ya Ximena bila kusahau Chi seeds (nikajua ni 'kai square'), asante Shunie kwa sala, sijakusahau Madame S , picha zinaongea sana na ndizo zimenivuta kuandika ninachoandika leo.
Asante Bitoz kwa kutia chachandu, sijakusahau husna muba sichoki kukukumbuka, Tumosa ujue safari yangu nakutegemea, Sakayo ujue Transcend leo kabamba Jukwaa kwa picha nzuri. Na Clkey , mzeewakungoa , Nyagei , Mondray , shedede , koncho77 , Mkushi wa kusi Mndali ndanyelakakomu lee empire , na wewe msomaji mnajijua kabisa bila nyinyi jukwaa hili linabaki kuwa kama majukwaa mengine tu ya kawaida. Uwepo wenu hapa unaifanya KF iwe hot na wengine kupiga miayo ya njaa kama wapishi wa hotel.
Muziki sasa; hey, sijarudi bado sema hii furahiday nimekaa naangusha mbuyu hapa kwa taratibu maana asubuhi inaanza kama jumatatu
Asante Obe kwa music
Poa poa Obe, mpendwa wako uko naye ni niniShukrani mdau, ikitokea nimechelewa wewe tupia tu muziki mapma maana zile mambo zangu bado hazijamalizika
Lazima litengenezwe kams first aid box na red cross kila pembesasa mtu kama doctor hilo jeneza lake linakuaje sijui
Yan nilikua nikiona mtu anapigwa yan kinakuja kiti anapigwa nacho mara anadundoshwa chini mara tafrani tupu nikawa nashangaaNi mazingaombwe tangiapo
Morning Madame sGood morning single ladies, other ladies can go and get your good morning from your boyfriends/ husbands
Madame S