Hahahaa
Kila la kheri mkuu...!
Tena ukiishi kaishi uswahili kabisa
Hawa walikuwa wawili bitoz kipindi hicho mwenzie nimemsahau jina lake nilikua simpendi great kali sjui asee umenikumbusha mbali
Madame S
Ni kwa sababu unasali mnoo... I'm lucky to have you love..Hivi lakini kwanini Mungu alikuleta kwangu ? You are great gift to me..
I am gifted!
Thank you Lord God.
Ni The Great Carl Lee
Almaarufu Great Khali
......
Weeee kumbe huyu naye alikua mcheza mieleka? Wallah nilikua sjui nampenda huyu mbaba sana2/Dwayne Johnson
Alizaliwa mwaka 1972 tarehe 2 Mei
Yeye anajiita The Rock yaani mwamba
Kwenye mieleka ni kama vile ana mpinzani na ni mwamba kweli we waulize akina John Cena ,Triple H ,Hulk Hogan watakwambia jamaa mgumu kama mwamba wa kule Mahenge
Kwenye filamu jamaa pia anafanya vizuri haswa muvi za kibabeAna utajiri wa USD 145 Milioni
......
Don't Try This At Home !!alinifanya huu mchezo niune wa mazingaombwe pia yan anapigwa hatetemeki hasogei jamani
Madame S
Huwezi kutaja wakali 10 wa mieleka wa muda wote huyu asiwepoWeeee kumbe huyu naye alikua mcheza mieleka? Wallah nilikua sjui nampenda huyu mbaba sana
Madame S
Don't Try This At Home !!
Utamuua Bailly mwili wenyewe si unaujua
......
Nampendaga movie zake the way alivyo and vyote kuhusu yeye sema sikua najua kamaaliwah cheza mieleka wewe ndio umenijuza kwakweliHuwezi kutaja wakali 10 wa mieleka wa muda wote huyu asiwepo
Huyu ni mwamba kama jina lake
......
Movie za huyoo jamaa ni sheeedaa.... Huwa sichoki kuziangalia2/Dwayne Johnson
Alizaliwa mwaka 1972 tarehe 2 Mei
Yeye anajiita The Rock yaani mwamba
Kwenye mieleka ni kama vile ana mpinzani na ni mwamba kweli we waulize akina John Cena ,Triple H ,Hulk Hogan watakwambia jamaa mgumu kama mwamba wa kule Mahenge ambayo kuipasua hata kwa baruti ni mbinde
Kwenye filamu jamaa pia anafanya vizuri haswa muvi za kibabe
Pia anavuta mkwanja kupitisma mikataba ya kibiashara/matangazoAna utajiri wa USD 145 Milioni
......
Ndio sasa ni kipenzi kitazamajiKichwa cha mwendawazimu hope kilishatolewa
AiseeNawasalimu kwa jina la Singeli..
Ndiye mwamba wa HollywoodMovie za huyoo jamaa ni sheeedaa.... Huwa sichoki kuziangalia
Hello madamUsilie jamanii...
Sio kwa kunihamisha hukooo... Mpaka nimesahau mmu