Makapuku Forum

Makapuku Forum

70895fc806a29b98db309f2fb5aa639f.jpg
 
Yaani dah hata ukipost cha maana utakosolowa kishenzi
Yes.
Yani watu wana majibu ya shombo kinoma hata kama ukipost point watu watakutupia dharau kinoma utasikia tu *BRN*....ila mmoja wao akipost hata nukta* utakuta likes kibao.

But kikubwa ni kujiamini na kufanya mambo yako, wengi wao hawana hoja kabisa ila dharau ndiyo zimezidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom