Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Asante shemeji.Asubuhi njema shem
Na kwako pia,natumai umejiandaa vyema kulijenga Taifa.
Asante shemeji.Asubuhi njema shem
Acha wao wajenge taifa wakimaliza sisi tutalipaka rangi au vipiAsante shemeji.
Na kwako pia,natumai umejiandaa vyema kulijenga Taifa.

Hahaha.Acha wao wajenge taifa wakimaliza sisi tutalipaka rangi au vipi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Salama mkuu habari ya asubuhi.Oyooooooo mambo zenu bhana
Poa sana vipi weweSalama mkuu habari ya asubuhi.
Sie TUKO poaMakapuku ni imani yangu mmeamka salama. Wale wa Bayern poleni sana
Fit sana leo Shem..Asante shemeji.
Natumai umeamka salama salmin.
Tumeamka poa brother mungu anasaidia.Makapuku ni imani yangu mmeamka salama. Wale wa Bayern poleni sana
Poa shemeji uwe na asubuhi njema.Fit sana leo Shem..
HahaaaaAcha wao wajenge taifa wakimaliza sisi tutalipaka rangi au vipi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Mie niko vizuri kabisa mkuu.Poa sana vipi wewe