[emoji3] [emoji3] [emoji3] Obe ww utakuwa ndo huyo mwenye shati ku bwaAnko lee empire asante sana kwa hadithi ya Mr X (wenye zinazowatosha wao washazipeleka kwenye zile movie za X, sijui akili zingine zinatokaga wapi, shedede usifanye hivyo bhana).
Hivi kwenye hii shughuli ulichangia shingapi maana baadaye ulituhumiwa kuondoka na bibi harusi mtarajiwa
Muzungu naona nimemslimia kauchuna mpe salam zangu mwambie naona trump kamrudisha karudi bongo bahati mbayaAje muzungu
Na Mungu amsaidie atuletee nyingine[emoji18] [emoji18] [emoji18]Baba D asante sana kwa story ya mr x toka ulipoanza mpaka leo umetumalizia ubarikiwe sana inafundisha sana
Mungu ni mwaminifu niko salamaPoa waendleaje
NzuriSijambo dada mwee za wewe
post using my macbook air using jamiiforums app
Mambo...?Aje muzungu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] dada mweeeSijambo dada mwee za wewe
post using my macbook air using jamiiforums app
[emoji120] [emoji120] kweli aisee Baba D tunaomba kama una nyingine utuwekee jaman sisi wapenda simulizi mana tuna arosto kote story zimesimama tulikua tunaburudika na mr x tuNa Mungu amsaidie atuletee nyingine[emoji18] [emoji18] [emoji18]
Miss so much beloved shemSalama shedede za wewe miss u
[emoji3] [emoji3] [emoji3] vp mzima lknMke mwee jaman hata wewe upo pamoja na binamu obe
Au hakumalzia ada kwa rasi simba kachukua madesa ykeMuzungu naona nimemslimia kauchuna mpe salam zangu mwambie naona trump kamrudisha karudi bongo bahati mbaya
Mi mbona sipo huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anko lee empire asante sana kwa hadithi ya Mr X (wenye zinazowatosha wao washazipeleka kwenye zile movie za X, sijui akili zingine zinatokaga wapi, shedede usifanye hivyo bhana).
Hivi kwenye hii shughuli ulichangia shingapi maana baadaye ulituhumiwa kuondoka na bibi harusi mtarajiwa
Nafurahi kuckia hvoMungu ni mwaminifu niko salama
Naaam...Shimba,shedede
Poa,umzima!mic uMambo...?
post using my macbook air using jamiiforums app
Cc shemu Lee na Mungu akubariki[emoji120] [emoji120] kweli aisee Baba tunaomba kama una nyingine utuwekee jaman sisi wapenda simulizi mana tuna arosto kote story zimesimama tulikua tunaburudika na mr x tu
Duh! Naona jamaa yupo fully of control with apple....!!
Nimekumic saana,vip shululu mzima.. ?Poa,umzima!mic u
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mjukuu mwee[emoji3] [emoji3] [emoji3] dada mweee
Mzima mke mwee za wewe jaman[emoji3] [emoji3] [emoji3] vp mzima lkn