Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Anko lee empire asante sana kwa hadithi ya Mr X (wenye zinazowatosha wao washazipeleka kwenye zile movie za X, sijui akili zingine zinatokaga wapi, shedede usifanye hivyo bhana).
Hivi kwenye hii shughuli ulichangia shingapi maana baadaye ulituhumiwa kuondoka na bibi harusi mtarajiwa
Obe ww utakuwa ndo huyo mwenye shati ku bwa
