Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Hallelujah [emoji119]Baba D asante sana kwa story ya mr x toka ulipoanza mpaka leo umetumalizia ubarikiwe sana inafundisha sana
Hallelujah [emoji119]Baba D asante sana kwa story ya mr x toka ulipoanza mpaka leo umetumalizia ubarikiwe sana inafundisha sana
Mbona haujaniuliza sijambo nimeshindaje naendeleaje kweli dada we marahaba tuuuKwa nini tena mdogo wangu
Eeeenh mimi huyo dada sababu me kivuruge sanaHilo nalo neno
AmeeeenHallelujah [emoji119]
HahahaMbona haujaniuliza sijambo nimeshindaje naendeleaje kweli dada we marahaba tuuu
Kumbe naniEeeenh mimi huyo dada sababu me kivuruge sana
Halafu weweAmeeeen
tutumieni na mb basi jamaan
Lakini mbona me nilisalimia na kuendelea na vingine jamaan usinifanyie hivyo au unataka nikufweHahaha
We si ulisalimia au....
Jamaaan [emoji134] mbona me kapole tuKumbe nani
Mimi tena dada nimefanyaje jamaanHalafu wewe
Bando la chuo veeep binamu line yangu sio ya chuo sakayo ndio anatumia line ya chuo sijui bado mwanafunzi [emoji23][emoji23]....si ujiunge na bando la chuo? Nyie wa dar si mnasemaga jijini chuo kikuu
Sijambo dada mwee za weweShedy Hujambo wewe
AminaHallelujah [emoji119]
Poa waendleajeHumu ndani veepe
Ukimya haumaanishi kunyamaza
....lazima utakuwa chanzo cha ugomvi wewe
[emoji3] [emoji3] [emoji3]....sijasema wewe ni.mgomvi, najua kabisa wewe ni mtu mzuri yaani gudipipo
Aje muzunguWakuu habar..?
post using my macbook air using jamiiforums app
Mke mwee jaman hata wewe upo pamoja na binamu obe[emoji3] [emoji3] [emoji3] unakajua ka aunt kako eeeeh