Makapuku Forum

Dah watu wana pita mengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo katika Historia

1960 - Gabon yajipatia Uhuru wake toka kwa Ufaransa.

Huko alikuwepo kiongozi tapeli tapeli bwana Omar Bongo ambaye alitawala kipindi kirefu kiasi cha kujiita Rais wa maisha ila kifo kikamfuata huko huko ikulu

Sasa uelewe utapeli wa Mzee Bongo ndio uliosababisha jiji la Bashite kuitwa bongo kutokana na kujaa matapeli
.........
 
Leo katika Historia

1962 - Peter Fechter anapigwa risasi na kuuwawa na walinzi alipojaribu kuvuka ukuta mpya wa Berlin.

Alikuwa na umri wa miaka 18 tu
Enzi hizo ukuta huo uliitenganisha Ujerumani Magharibi na Mashariki
Walikuwa hawaelewani kama Wakorea
........
 
Leo katika Historia

1998 - Rais Bill Clinton wa Marekani anakiri kupitia tepu zilizorekodiwa kuwa, alikuwa na uhusiano na Monica Lewinsky, mfanyakazi wa ikulu ya Nchi hiyo.

Ukistaajabu ya Clinton & Lewinsky utayaona ya JFK & marilyn Monroe
Hawa wote wanaaminika kuwa Marais viwembe wasiotaka kupitwa na walimbwende
Filamu na vitabu kuhusu skendo hiyo zipo nyingi tu
.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…