Makapuku Forum

4/ je wamjua mtu mwenyevidole vingi zaidi duniani??

Ni mtoto Akshat Saxena mwenye vidole 34 kwa ujumla wa vidole vyake vyote

Jarida la daily mail la terehe 26 July 2011 lilichapisha habari za mtoto huyu wa maajabu kuwahi kutokea

Ana vidole saba kila mkono na miongoni mwao hana vidole gumba kama tunavyozoea kuona mikono ya kawiada inavyokua na vidole kumi kila mguu

Anatokea Utah Pradesh huko Nothern India



Madame S
 
Aisee
 
Mmmmh
 
5/ achana na Peruvian hair wala Brazilian hair,je wamjua mtu mwenye nywele ndefu zaidi duniani?



Ni mwanamama anaitwa Xie Qiuping raia wa China,



Nywele zake zina urefu wa 5.67 m (18 feets) na zilipimwa 08 May 2004



Nywele zake zilianza kukua tangu 1973 akiwa na miaka 13



Aliwah kuulizwa kama anapata shida kua na nywele ndefu kiasi hicho akajibu hakuna shida anayopata amezoea hali yake kama tunavyosema anapambana na hali yake ila tu aliongezea unapaswa kua mvumilivu kua na nywele ndefu ka!a zake



Madame S
 
Ndefu aisee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…