Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hakuna namna itabidi umpende tuNakupenda padiri wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hakuna namna itabidi umpende tuNakupenda padiri wangu
Asante kwa kumi kubwa za leo mdau1/China![]()
![]()
![]()
Hawa watu ni shida wanajiandaa kuitawala dunia
Huku bongo wanatusumbua ni viwanda vyao vya koroboi na yeboyebo.....unaweza kuwaona ni wajinga ila wanapiga pesa
Ni mabingwa wa kukopi na kupaste wanakopi hadi magari na kuyatengeneza kwa bei chee hata pungufu ya 50& ya mzalishaji wa mwanzo
Ukileta Samsung wao wanaketa Sumsang
Ukileta Toyota wao wanaleta Tayota
Ukileta Land Cruiser wanakuletea Wind Cruiser au Rand Cruiser
Ni shiiida !!!
Viwanda huzalisha USD 1,750 ambayo ni karibia 1/3 ya GDP
Wafanyakazi hugharimu wastani wa USD 3 tu kwa saa
Kodi ni 25%
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwamliosapoti mada
Niwatakie Usiku Mwema
Tukutane kesho
Mwisho
...................
Babu yake ShunieSawaaaa babu Shunie
[emoji120] naamini T yaaan ata cha kuongea nimekosa jamanAmina Shem shunie..
Tumuombe Mungu Tuu.
Basi Sawa... Mungu amtunze tuu T wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi huyu ndio mzuri jaman
Na kichura chura jeKwakweli me nitavaa kimini msinitanie aisee
Mie nini tena T kasema kaimiss bongo mpe salam zangu kwakweli ampe trumpNa wewe pia...
HahahaEbu mwambie akisafishe hatutaki mchezo
Shikamoo shemela wangu mimi apaShemela
Yaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hakuna namna itabidi umpende tu
Lile linanijaza tumboMie tikiti ndo sishibagi
Ila akili ipo kwa TrumpDada mwambie ampe salam zangu trump jaman amwambie nipo bongo bahati mbaya
OoohBabu yake Shunie
AmeeenBasi Sawa... Mungu amtunze tuu T wangu
MmmmhMie nini tena T kasema kaimiss bongo mpe salam zangu kwakweli ampe trump
HahahaLile linanijaza tumbo
Shemela jaman kichura chura kinatokea wapi jaman watu hapo tupo kwenye kwaitoNa kichura chura je
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi alimaanisha nini lakini ujue nawaza tu sipati jibu basi angekupaga hata ya kudownliad googleHahaha
Yaani nacheka Sina hamu
Unajua shemela, wasambaa kipindi cha miaka ya nyuma wasambaa walikuwa na mashindano ya zawadi za kubeba mikateShemela shikamoo kwanza hivi makabila yote tanzania haujaona umewaona wasambaa tu jaman
NdiwooooooIla akili ipo kwa Trump