Makapuku Forum

Makapuku Forum

2/United States
5b33e04e8d4b80a22a7d1ac88a1ed242.jpg
d0e85b0a287455c575953fbd6148e22d.jpg
fa6b775bc41d4f21bcc72aacc30c00ac.jpg

Yule mtu anayependa sifa humu Jf kwa kujitangaza yupo Marekani nasikia anabeba boksi na kufagia kwenye kiwanda kimoja huko Detroit cha kutengeza bikini....ni mchapakazi
Wakati Donald Trump akija na sera uchwara ya kubana matumizi basi uelewe ataviathiri viwanda huko
Hawa jamaa hujitengenezea wenyewe hadi vifaa vya kijeshi kisha ututangazia vina thamani ya mabilioni ya shilingi !!
Wanarekani wapo vizuri suala la viwanda kivitendo zaidi
Wafanyakazi hulipwa/hugharimu wasyani wa USD 37 kwa saa
Uzalishaji viwandani huchangia USD 1,800 Bilioni sawa na 12% ya GDP
Corporate tax ni ya 40%
........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom