Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Bado mdogo wangu...![]()
dada nijibu basi kilienda kusafishwa me nakupenda tuuuuuuuuu
Bado mdogo wangu...![]()
dada nijibu basi kilienda kusafishwa me nakupenda tuuuuuuuuu
Haaaaahaaaa
Naanzaje Kukucheka Madame.....Nimecheka hio 'babu yao'Unanicheka?
Madame S
Nakupenda padiri wanguNaambie Roho yangu..
Shemela shikamoo kwanza hivi makabila yote tanzania haujaona umewaona wasambaa tu jamanWasambaa hao
Amina Shem shunie..Mko wachache T wanaume wa aina yako jaman Mungu azidi kumuwekea dada angu T wake jaman
Na wewe pia...Dada mwambie ampe salam zangu trump jaman amwambie nipo bongo bahati mbaya
ShemelaBabu upo kama mimi aisee sipendi kudanganywa jaman na wala sipendi kumdanganya mtu yaan bora uniambie ukweli ata kama utaniumiza kuliko kunidanganya
Penda wewe zaidi mboni yanguNakupenda
Naona Hayo matamshi ya kibukobabukoba...... 'nimefanyamo' ha ha ha ha.Babu naomba nisikudanganye... You know what I mean... Nimefanyamo kazi kwa muda
Sawa babu wa bukoba ni shemela shululu upande bukoba upande tanga usambaaniKuna lugha ameitumia nimeizoea kuisikia kwa watu wa Bukoba.
Mie tikiti ndo sishibagi![]()
![]()
kweli dada yaan hivyo vyakula sishibi jamaan
![]()
Ni ile maji ya gold tu jaman au leo unaikana bada ya kutaka kuwa padriBeeereeeee ndio mdudu gani?
HahahaShemela shikamoo kwanza hivi makabila yote tanzania haujaona umewaona wasambaa tu jaman
Ebu mwambie akisafishe hatutaki mchezoBado mdogo wangu...
Upi tena mkuu?Naona upo kwenye ubora wako
HahahaNaona Hayo matamshi ya kibukobabukoba...... 'nimefanyamo' ha ha ha ha.