Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Shunie..T nakupenda ujue roho ya dada angu ungekua karibu ningekuja kukuhug tu ujue
Nimekuwa katika upendo wa wazazi..
Nimelelewa katika upendo huo huo ..
ila niliambiwa pia na nidumishe upendo...
So i am trying to do what i was told..
