Makapuku Forum

1/China
Hawa watu ni shida wanajiandaa kuitawala dunia
Huku bongo wanatusumbua ni viwanda vyao vya koroboi na yeboyebo.....unaweza kuwaona ni wajinga ila wanapiga pesa
Ni mabingwa wa kukopi na kupaste wanakopi hadi magari na kuyatengeneza kwa bei chee hata pungufu ya 50& ya mzalishaji wa mwanzo
Ukileta Samsung wao wanaketa Sumsang
Ukileta Toyota wao wanaleta Tayota
Ukileta Land Cruiser wanakuletea Wind Cruiser au Rand Cruiser
Ni shiiida !!!

Viwanda huzalisha USD 1,750 ambayo ni karibia 1/3 ya GDP
Wafanyakazi hugharimu wastani wa USD 3 tu kwa saa
Kodi ni 25%
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwamliosapoti mada
Niwatakie Usiku Mwema
Tukutane kesho
Mwisho
...................

 
Nawe pia Bitoz
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…