Makapuku Forum

Wenzake tunafuga bata
Yeye anafuga ndevu

Atalala njaa

......
 


Ua hili linajulikana kisayansj kama Abrus precatorious au kwa jina maarufu the crab's eye (jicho la kaa)

Ua hili linapatikana zaidi kusini mashariki mwa bara la Asia

Mbegu za ua hili zina chemikali kali yenye sumu na endapo ikigusana na mwanadam hußababisha uharibifu wa seli za mwili

Ikatokea limemezwa bila kukwanguliwa mbegu zake au kuzichuna halina madhara lakini litakapokwanguliwa huua kwa haraka


Madame S
 

Alikuwa na umri wa miaka 42 tu
Life bagan at 40!!! Kwa hiyo ndio alikuwa akianza naisha
Couple ya Michael & Lisa ni miongoni mwa couple maarufu duniani za muda wote japokuwa walimwagana : I Can't Help Falling In Love With You
......
 
Uliwahi kujua kama yapo baadhi ya mimea hula wadudu kama ulikua hujui leo nakujuza



Ua hili hujulikana kitaalam kama round leaved sundrew

Ua hili hujipatia riziki yake kupitia wadudu

Kwa msaa wa maelezo kutoka Wikipedia mmea huu hula wadudu kutokana na rangi yake

Hutoa maji maji mithili ya glistening, maji maji haya huangusha matone yenye usukari ndani yake, na ikitokea mdudu akatua kwenye maji haya ambayo hupatikana pembezoni mwa ua hili hunata na kupelekea ua hili kujizungusha mwili mwa mdudu huyo na kumla


Lets call it a day untill next time

Mbaki salama nawapenda sana.

Madame S
 
Hizo nido au makalio

......
 
Bila picha hatuamini

......
 
Pata burudani sasa kutoka kwa huyu bibi bomba madonna

Rekodi inaitwa frozen toka kwa Madonna... Kifupi mimi huyu bi mkubwa namuelewa nje ndani

Madonna ni Malkia wa popo duniani
Michael Jackson ni Mfalme wa popo duniani

Vizazi na vuzazi vitawakumbuka watu hawa na kuburudika
.......
 
Leo katika Historia

2003 - Idd Amin Dadah anafariki Dunia.
Alikuwa ni Dikteta na Rais wa 3 wa Uganda.
Alisifika kwa utawala wa Mkono wa chuma, ambapo watu waliompinga walikiona cha mtema kuni.




Mmoja kati ya madikteta kumi bora wa muda wote
Alifariki akiwa na umri wa miaka 78
Ndiye chanzo cha Waisrael kufanta Operation Entebbe ili akomboe mateka wao na kupelekea kifo cha [b[Jonatan Netanyahu[/b]
Pia ndiye chimbuko la Vita Ya Kagera baada ya kumchokoza Kambarage na kuishia kupigwa na ukawa mwisho wa utawala wake
Alisifika kwa kuparamia wanawake kiasi idadi ya wanawe haijulikani
Kauli yake iliyobamba
Filamu kibao zimechezwa kumuhusu
........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…